Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara, Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akiwapa mazoezi polisi jamii na
ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo.
Washiriki wa polisi jamii na ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa kituo cha
polisi Mirerani
No comments:
Post a Comment