Thursday, 5 September 2013

SIMBA HIYOO MIRERANI



Wachezaji wa timu ya Simba Sports Club, wakipatiwa huduma kwenye saluni ya Nickbarber shop iliyopo mji mdogo wa Mirerani baada ya kucheza na kuifunga bao 1-0 timu ya Tanzanite Sports Club ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.



Wachezaji wa timu ya Simba Sports Club, wakipatiwa huduma kwenye saluni ya Nickbarber shop iliyopo mji mdogo wa Mirerani baada ya kucheza na kuifunga bao 1-0 timu ya Tanzanite Sports Club ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.

POLISI JAMII



Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akiwapa mazoezi polisi jamii na ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo.



Washiriki wa polisi jamii na ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa kituo cha polisi Mirerani

SIMBA SC ILIPOCHEZA NA TANZANITE SC YA MJI MDOGO WA MIRERANI



Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akisalimia na Abdulhamid Humud wakati akiikagua timu ya Simba ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara na kucheza na timu ya Tanzanite Sports Club.



Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akisalimia na Abdalah Seseme wakati akiikagua timu ya Simba ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani na kucheza na timu ya Tanzanite Sports Club.



Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani SP, Ally Mohamed Mkalipa akisalimia na wachezaji wa timu ya Tanzanite Sports Club kabla haijacheza na timu ya Simba Sports Club wakati ilipotembelea mji mdogo wa Mirerani.