Hii
ndiyo nyumba ya milele ya Bilionea mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite marehemu Erasto Msuya ambapo kesho jumanne Agosti 13 tukijaliwa
tutamsitiri nyumbani kwao mtaa wa Kairo Mji mdogo wa Mirerani Wilayani
Simanjiro Mkoani Manyara.
Maandalizi
ya nyumba ya milele ya bilionea mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite marehemu Erasto Msuya ambapo kesho jumanne ya Agosti 13 tukijaliwa
tutamsitiri nyumbani kwao mtaa wa Kairo Mji mdogo wa Mirerani Wilayani
Simanjiro Mkoani Manyara.
No comments:
Post a Comment