Tuesday, 23 September 2014

REDDS MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA MANYARA

 Nikiwa na washiriki wa Redds Miss Tanzania 2014 kushoto ni Miss Iringa Martha John na Miss Temeke Salama Salehe.
 Tukifuatilia wanyange wa Redds Miss Tanzania 2014 wakichuana kwenye Miss Talent iliyofanyika kwenye ukumbi wa White Rose Mjini Babati Mkoani Manyara.
Nipo na mshiriki wa Miss Tanzania 2012 ambaye alikuwa mnyange wa Miss Photogenic 2012, Lucy Stephano tukifuatilia warembo wa Redds Miss Tanzania 2014 wakishiriki Miss Talent Mjini Babati Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment