Nikiwa na washiriki wa Redds Miss Tanzania 2014 kushoto ni Miss Iringa Martha John na Miss Temeke Salama Salehe.
Tukifuatilia wanyange wa Redds Miss Tanzania 2014 wakichuana kwenye Miss Talent iliyofanyika kwenye ukumbi wa White Rose Mjini Babati Mkoani Manyara.
Nipo na mshiriki wa Miss Tanzania 2012 ambaye alikuwa mnyange wa Miss Photogenic 2012, Lucy Stephano tukifuatilia warembo wa Redds Miss Tanzania 2014 wakishiriki Miss Talent Mjini Babati Mkoani Manyara.
Tuesday, 23 September 2014
WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI YA TANZANITE
Baadhi ya wachimbaji wa madini ya Tanzanite wakiwa kwenye kikao chao kujadili suala zima la maendeleo yao
Wednesday, 10 September 2014
Saturday, 6 September 2014
NA KAMANDA MWAKALINGA
Nikiwa na kiongozi wa kikosi cha polisi
wa kutuliza ghasia mkoa wa Manyara INSP Mwakalinga.
Karatu moja hiyo nikiwa na kiongozi wa kikosi cha polisi
wa kutuliza ghasia mkoa wa Manyara INSP Mwakalinga.
KANSAY WILAYANI KARATU
Nikiwa na waandishi wa habari wa Wilaya
ya Karatu Mkoani Arusha, kushoto ni Theodora Mrema wa gazeti la Mwananchi na
Sofia Fundi wa gazeti la Majira
Subscribe to:
Posts (Atom)