ZIMAMOTO
Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara,
Elisha Mugisha akizungumza juzi mjini Babati, wakati wa kuwapongeza wafanyakazi
waliopanda vyeo na kuwaaga na kuwakaribisha watumishi wapya, (katikati) ni
Naibu Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage na Kamanda wa
Kilimanjaro Mrakibu Mwandamizi Gilbert Mvungi.
No comments:
Post a Comment