Tuesday, 29 October 2013

HONGERA ANDREW



Mtoto Andrew Joseph wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, akipuliza mshumaa kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka miwili iliyofanyika nyumbani kwao.

Friday, 25 October 2013

ZIMAMOTO


Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara, Elisha Mugisha akizungumza juzi mjini Babati, wakati wa kuwapongeza wafanyakazi waliopanda vyeo na kuwaaga na kuwakaribisha watumishi wapya, (katikati) ni Naibu Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage na Kamanda wa Kilimanjaro Mrakibu Mwandamizi Gilbert Mvungi.

Friday, 18 October 2013

DIWANI



Diwani wa Kata ya Mirerani Wilaya ya Simanjiro, Justin Nyari akizungumza kwenye mkutano uliohudhuriwa na Katibu wa CCM Mkoani Manyara, Ndengasso Ndekubali.

Wednesday, 9 October 2013

MGODINI



Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite kwenye mgodi wa Judicate Ulomi, Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakishuka mgodini.

KIJIWENI



Kijiweni katika madini ya Tanzanite, Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.

DC NA WATU WA HAYDOM



Kuna namna nyingi ya kuzungumza na kufikisha ujumbe kwa jamii, hapa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Anatory Choya, akizungumza na wakazi wa Mji mdogo wa Haydom