Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Arusha Kamishna Msaidizi Liberatus Materu Sabas alipofika kutoa pole kwa wahanga
waliopigwa na bomu jumapili iliyopita kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti jijini Arusha.
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mmoja kati ya majeruhi wa bomu
lililopigwa jumapili iliyopita kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu
Joseph Mfanyakazi,Olasiti jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment