Saturday 21 April 2012

MAJI ORKESUMET WILAYA YA SIMANJIRO MKOANI MANYARA

Mkazi wa mji mdogo wa Okresumet Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara akiwa na mtoto wake na punda wakichota maji kwenye mji huo ambao maji bado ni tatizo kubwa.

No comments:

Post a Comment