Saturday, 21 April 2012

MAJI ORKESUMET WILAYA YA SIMANJIRO MKOANI MANYARA

Mkazi wa mji mdogo wa Okresumet Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara akiwa na mtoto wake na punda wakichota maji kwenye mji huo ambao maji bado ni tatizo kubwa.

Saturday, 14 April 2012

MAJENZI WA BARABARA

Mafundi wakikarabati barabara ya kuelekea Mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara