Monday 19 March 2012

PICHA YA MTOTO WA MBUZI MWENYE MIGUU NANE NA MIKONO NANE

Wakazi wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara wakishangaa mtoto wa mbuzi (Mbalelo) ambaye alizaliwa akiwa na miguu minne na mikono minne hata hivyo mbuzi huyo alikufa

No comments:

Post a Comment