Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani
Manyara,Brigedia Jenerali Cosmas Kayombo (kushoto) na Mbunge wa Jimbo
hilo,Christopher Ole Sendeka wakikagua mfereji wa D’Souza wa machimbo ya
Tanzanite Mirerani uliogharimu sh330 milioni ambao mwaka 2008 maji yaliyopita
kwenye mfereji huo uliuwa wachimbaji wadogo 79.
No comments:
Post a Comment