Mbunge wa Jimbo
la Mbulu Mkoani Manyara, Flatei Gregory Massay, akisaidia mafundi kwenye ujenzi
wa chumba cha upasuaji kwenye kituo cha afya Dongobesh.
Saturday, 30 July 2016
Saturday, 23 July 2016
UJENZI WA BARABARA
Ujenzi wa barabara ya
kiwango cha lami kutoka Mirerani hadi Kia ya kilometa 26 inayotengenezwa na
kampuni ya Chico, ukiwa unaendelea hivi sasa.
WAKUU WAPYA WA WILAZA ZA MKOA WA MANYARA
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Manyara Eliakim Maswi akizungumza na Wakuu wapya wa Wilaya za Mkoa huo,
mjini Babati.
Mkuu mpya wa Wilaya
ya Hanang’ Sara Msafiri akila kiapo mjini Babati mbele ya Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Dk Joel Bendera.
Wakuu wapya wa Wilaya
za Mkoa wa Manyara, wakijiandaa kula kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Dk Joel
Bendera.
Mkuu mpya wa Wilaya
ya Hanang’ Mkoani Manyara, Sara Msafiri akipongezwa na watumishi wa Wilaya hiyo
baada ya kula kiapo mjini Babati.
Wakuu wapya wa Wilaya
za Mkoa wa Manyara, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wabunge wa Mkoa huo na baadhi
ya viongozi wa Mkoa huo, baada ya kula kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Dk Joel
Bendera.
Subscribe to:
Posts (Atom)

