Sunday, 17 August 2014

Thursday, 14 August 2014

MKUTANO WA TMF NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA



Mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea Dodoma Hotel kuhusu mrejesho wa rujuku vijijini wa Mfuko wa waandishi nchini TMF




Waandishi wa habari wakiwa Dodoma hoteli kwenye tafakari mbalimbali ya mrejesho wa ruzuku binafsi vijijini wa Mfuko wa waandishi nchini TMF

Sunday, 10 August 2014

HARAMBEE KAIRO


Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka na msanii wa muziki Nakaaya Sumary, wakiimba kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Mikungani Mtaa wa Kario, katika harambee ya kuchangia kanisa hilo ambapo sh8 milioni zilipatikana.

Mbunge wa jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka na Diwani wa Kata ya Endiamtu, Lucas Zacharia wakiwa kwenye harambee ya kuchangia Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Meru mtaa wa Kairo

Saturday, 9 August 2014

MBUNGE MTARAJIWA



                             Napata mawili matatu na mbunge mtarajiwa