Wasichana
wa jamii ya wadatoga wakiwa na Mratibu wa Haydom 4 Corner Culture Programme (4CCP) Anna Karry Olsen.
Wednesday, 9 October 2013
Saturday, 5 October 2013
CCM NA POLISI
Palichimbika
juzi hadi polisi wa kituo cha Mirerani wakafika
kuweka ulinzi ni katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi Kata ya Endiamtu
walipokutana na viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara
Thursday, 5 September 2013
SIMBA HIYOO MIRERANI
Wachezaji wa timu ya Simba Sports Club, wakipatiwa huduma kwenye
saluni ya Nickbarber shop iliyopo mji mdogo wa Mirerani baada ya kucheza na
kuifunga bao 1-0 timu ya Tanzanite Sports Club ya mji mdogo wa Mirerani
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.

POLISI JAMII
Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara, Mrakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa akiwapa mazoezi polisi jamii na
ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo.
Washiriki wa polisi jamii na ulinzi shirikishi wa Tarafa ya Moipo
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa kituo cha
polisi Mirerani
Subscribe to:
Posts (Atom)