![]() |
| Mkazi wa mji mdogo wa Okresumet Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara akiwa na mtoto wake na punda wakichota maji kwenye mji huo ambao maji bado ni tatizo kubwa. |
Saturday, 21 April 2012
MAJI ORKESUMET WILAYA YA SIMANJIRO MKOANI MANYARA
Saturday, 14 April 2012
MAJENZI WA BARABARA
| Mafundi wakikarabati barabara ya kuelekea Mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara |
Monday, 19 March 2012
WanaApolo
![]() |
| Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wanaApolo wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara |
PICHA YA MTOTO WA MBUZI MWENYE MIGUU NANE NA MIKONO NANE
![]() |
| Wakazi wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara wakishangaa mtoto wa mbuzi (Mbalelo) ambaye alizaliwa akiwa na miguu minne na mikono minne hata hivyo mbuzi huyo alikufa |
Saturday, 10 March 2012
WANAFUNZI MIRERANI BENJAMIN MKAPA
Subscribe to:
Posts (Atom)


