Monday, 22 December 2014
Sunday, 21 December 2014
JK AWATUNUKU MALUTENI USU MONDULI
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa walipokutana jana wilayani Mondulu.
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akisalimiana na Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Brigedia Jenerali Mwamunyange.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akisalimiana na wanajeshi jana wilayani Monduli.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na wahitimu maluteni usu baada ya kuwatunuku vyeo hivyo jana Wilayani Monduli Mkoani Arusha.
BARABARA YA BONGA-KONDOA
Barabara ya lami ya kutoka Bonga Wilayani Babati Mkoani Manyara hadi Kondoa Mkoani Dodoma ikiendelea kujegwa.
RIDHIWANI KIKWETE MAMBO YA MSOGA
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete akifanyiwa tambiko la jadi na wazee wa Kijiji cha Msoga.
Wednesday, 17 December 2014
WANASHANGILIA USHINDI
Wafurukutwa
wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,
wakishangilia ushindi baada ya kupata vitongoji saba kati ya nane vya kata ya
Mirerani.
Subscribe to:
Posts (Atom)






