Sunday, 21 December 2014

Wednesday, 17 December 2014

WANASHANGILIA USHINDI



Wafurukutwa wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakishangilia ushindi baada ya kupata vitongoji saba kati ya nane vya kata ya Mirerani.

Sunday, 14 December 2014

WANAMSIMIKA KIONGOZI WAO



Wananchi na wazee wa kimila wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho, baada ya jina lake kukatwa na viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo na kumshinda Mbuki Mollel kwa kura 335 kwa 215.



Wakazi wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiandamana kwenda ofisi ya Serikali ya Kijiji kumsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho, ambaye awali katika kura ya maoni ya CCM alishinda na jina lake kuenguliwa, alipata kura 335 na kumshinda Mbuki Mollel aliyepata 215.

Wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiandamana kwenda ofisi ya Serikali ya Kijiji kumsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho, ambaye awali katika kura ya maoni ya CCM alishinda na jina lake kuenguliwa, alipata kura 335 na kumshinda Mbuki Mollel aliyepata 215

Saturday, 13 December 2014

KAMPENI CCM



Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Kata ya Mirerani.

Friday, 12 December 2014

KAMPENI CCM


Wagombea 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Vitongoji vya kata ya Endiamtu, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, waliopita bila kupingwa wakiwasikiliza wagombea nane wa vitongoji vya kata ya Mirerani.
Baadhi ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi CCM wa kata ya Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mkutano wa kampeni kwenye kata hiyo.