Sunday, 31 August 2014

KARIBU MWENGE MKOA WA MANYARA



Mwenge wa uhuru ukiwa Mkoani Manyara umetembelea miradi 52 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3


Monday, 18 August 2014

MAHINDI GALAPO



Wakulima wa zao la mahindi wa Kijiji cha Galapo Wilayani Babati Mkoani Manyara, wakipukuchua mahindi yao ili wayapeleke sokoni ila wameiomba Serikali iharakishe ununuzi wa mahindi hayo kabla ya mvua hazijaanza kunyesha na kusababisha uharifu


Wakulima wa Kijiji cha Galapo Wilayani Babati Mkoani Manyara, wakiandaa mahindi yao kwenye soko la Galapo ambapo wameiomba Serikali ifanya mpango kwa kuwatafutia soko nchi jirani ya Kenya kwani mahindi ni mengi mno kwenye eneo hilo

WANAAPOLO



Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite maarufu kama WanaApolo wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.

Sunday, 17 August 2014

KAMANDA WAITARA



Baadhi ya viongozi wa Chadema, wa mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsikiliza Mjumbe wa Taifa wa Kamati Kuu ya Chama hicho Mwita Waitara akizungumza nao.



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwita Waitara akizungumza na baadhi ya viongozi wa chama hicho wa mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, kuhusiana na chaguzi mbalimbali za chama hicho kwenye wilaya hiyo.