Friday, 15 November 2013

WADAU MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KATIKA MKOA WA MANYARA


Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohudhuria kikao cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kilichofanyika Mjini Babati kulia kwake ni Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo, Lydia Choma na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Babati, Khalid Mandia akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla na Mkurugenzi wa Uhai na Takwimu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando baada ya kufungua kikao cha wadau wa mfuko huo wa mkoa huo.

MAJADILIANO MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA


Mkuu wa Wilaya ya Babati,  Mkoani Manyara, Khalid Mandia, akiongoza kikao cha wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo kilichofanyika mjini humo wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkurugenzi wa Uhai na Takwimu wa NHIF, Michael Mhando, Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo Lydia Choma na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla.

Wednesday, 13 November 2013

UWASILISHAJI UFUTA


Ofisa Uhusiano wa Shirika la Farm Africa, Goodness Mrema akiwasilisha tathmini ya utekelezaji wa mradi wa uzalishaji na masoko ya ufuta kwa wakulima wadogo awamu ya pili, mjini Babati Mkoani Manyara

Thursday, 7 November 2013

DIWANI NAWASILISHA



Diwani wa Kata ya Emboreet Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, John Olendikon akizungumza kwenye kikao  

UJASIRIAMALI



Mfanyabiashara wa Kijiji cha Matufa akiwa anafanyabiashara yake baada ya kujengewa uwezo na shirika lisilo la kiserikali la Farm Africa la Babati Mkoani Manyara

MAKAMU MWENYEKITI



Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitek akizungumza kwenye kikao cha Baraza hilo