Mtoto
Andrew Joseph wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,
akipuliza mshumaa kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka miwili iliyofanyika
nyumbani kwao.
Tuesday, 29 October 2013
Friday, 25 October 2013
ZIMAMOTO
Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara, Elisha Mugisha akizungumza juzi mjini Babati, wakati wa kuwapongeza wafanyakazi waliopanda vyeo na kuwaaga na kuwakaribisha watumishi wapya, (katikati) ni Naibu Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage na Kamanda wa Kilimanjaro Mrakibu Mwandamizi Gilbert Mvungi.
Friday, 18 October 2013
DIWANI
Diwani wa Kata ya Mirerani Wilaya ya
Simanjiro, Justin Nyari akizungumza kwenye mkutano uliohudhuriwa na Katibu wa
CCM Mkoani Manyara, Ndengasso Ndekubali.
Wednesday, 9 October 2013
MGODINI
Wachimbaji
wadogo wa madini ya Tanzanite kwenye mgodi wa Judicate Ulomi, Mji mdogo wa
Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakishuka mgodini.
DC NA WATU WA HAYDOM
Kuna
namna nyingi ya kuzungumza na kufikisha ujumbe kwa jamii, hapa ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Anatory Choya, akizungumza na wakazi wa Mji
mdogo wa Haydom
Subscribe to:
Posts (Atom)